Serikali Itatumia Trilioni 4.20 Ujenzi Vituo vya Kupoza Umeme Kila Wilaya.

Mradi wa Ujenzi wa Vituo vya Kupoza Umeme katika kila wilaya nchini unakadiriwa kutumia jumla ya shilingi trilioni 4.20 ambazo zitatolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 bungeni jijini Dodoma, Mhe. January Makamba alisema kuwa